Mkuu hii picha ni ya mwalimu wangu na hapo ni shule niliosomea o- level tulikuwa tunamuita Jina la utani kibenju kwa kuwa Jino lake limekatika.
Anafundisha geography lakini Kashika abort ya physics
Huo mzigo wa fimbo ndo zilikuwa Zake kulete mizigo ofisin kama fimbo zimeisha.