A short story.
Kabaharia Mark Constantine kalishikwa ugoni redi hendedi na Mwanaidi Mustapha ambaye ni mke wa mtu huko Rocky City.
View attachment 2089597
View attachment 2089599
Mwenye mke hakutaka kukaua bali aliamru alipwe laki 5 kwa kutafuniwa mke wake. Kabaharia kakaona isiwe kesi kakaamua kutoa ahadi mbele ya mashahidi.
View attachment 2089601
Mchezo ukaisha na kila mtu akaendelea na mishe zake. Mwanaidi Mustapha akaondoka na mumewe. Na hadithi yetu inaishia hapo.



#KuchapiwaHakuepukiki



#KitandaHakizaiHaramu



#KuchapiwaNiSiriYaNdani