Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20220119_142035.jpg
 
Umuonaye pichani ni Nabii kutoka nchini Ghana, Anadai mungu amemuamuru ahubiri akiwa uchi kwasababu duniani tulikuja tukiwa uchi nahivyo naye akaamua kuhubiri neno la mungu akiwa uchi.

Mapolisi nchini humo wakakosa uvumilivu na kuamua kumsweka ndani ili atoe maelezo ni kifungu gani kinasema ivo.

FB_IMG_1642594833374.jpg
 
Back
Top Bottom