Bangi ni juhudi zako mwenyewe lakini madini ni karama za Mungu. Naamini ungelima madini na serikali ikakukuta nayo sidhani kama ingekunyang'anya [emoji16][emoji16][emoji16]Serikali Mungu anawaonaView attachment 2086912
Tena ikija kuwa mianasiasa halafu uikute jukwaani inamwaga sera za kutetea wanyonge mbona mwenyewe utafurahi?Miamba ya baadayeView attachment 2087192
Kuingiza uzi kwenye tundu la sindano [emoji123]
[emoji123][emoji123][emoji123]Alisikika msukuma mmoja hivi[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@Babu hiyo rangi ya ugali[emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2087402