Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ni suala la wakati na Bahati
[emoji116]
Mhubiri 9
11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
𝐀𝐬𝐢𝐥𝐢𝐦𝐢𝐚 𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐤𝐨 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐨𝐤𝐨𝐥𝐞 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐧𝐲𝐰𝐢 𝐏𝐨𝐦𝐛𝐞 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐬𝐨𝐝𝐚 𝐭𝐮, 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐬𝐨𝐝𝐚Kwa nini Kigoma Vijijini? [emoji15]
View attachment 2062764
Ushindweee; na uache roho ya Kipare. In Jesus name Amen [emoji16][emoji16]Ya nguna[emoji2]
Yaa,ukilijua hili neno hupati shida kabisa,ni kuomba Mungu tu wakati wako ufike,Moja ya mistari yangu pendwaaaa
Lakini pia tusisahau kuwa "luck favors the prepared".Yaa,ukilijua hili neno hupati shida kabisa,ni kuomba Mungu tu wakati wako ufike,
Wakati fulani huwa tunajiuliza mbona huyu hakufaa kuwa hapo alipo hata kidogo?,au huyu alishindaje wenzake?,kumbe ni bahati tu imemuangukia.
Lakini pia tusisahau kuwa "luck favors the prepared".
Mtumishi mwema hujambo? Mnaendeleaje huko?Definitely...
Mtumishi mwema hujambo? Mnaendeleaje huko?
Endelea tu kututania. Unachokitafuta utakipata! [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nimeshapona. Nimepima jana niko negative. Binti hali kadhalika japo kuna viishu vidogo bado anamalizana navyo. Kesharudi shuleni.Huku kwema kabisa, tunamshukuru Mungu. Vipi nyinyi mnaendeleaje, especially binti?