Hapa wasukuma wameonewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni wahehe ndio husema hivi
Hapo kwani kuna fa faWahehe ndiyo huwa na Fa fa?
Hapo kwani kuna fa fa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimefanyaje kwaniUmeshaanza mambo yako.
Mimi nimeuliza tu generally. Kuna wa kwenu sijui huwa wanatamka "nda", fanta anasema fanda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimefanyaje kwani
Ndio hao wahehe wanatamka fanda, jinzi n.k
Nimekuzidi wewe?Umesahau u-pasua kichwa wako?
Nimekuzidi wewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha nikae kimya mimiMimi huyu chaupole?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha nikae kimya mimi
Wewe na baba yako si ndio huwa mnasema huwezi kuchafua lami kwa kupaka kiwi[emoji1787][emoji1787]Eeh unyamaze tu, usinisingizie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na baba yako si ndio huwa mnasema huwezi kuchafua lami kwa kupaka kiwi[emoji1787][emoji1787]
Kulikuwa na ulazima wa kumtaja Ntuzu wakati tunamuongelea baba yako? Mtoto una hila weweHahahaha my sweetest dad Kaboom. Hivi baby wako Ntuzu yuko wapi?
Hivi na mama angu mlikuwa na-share mchepuko gani vile?[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]Kulikuwa na ulazima wa kumtaja Ntuzu wakati tunamuongelea baba yako? Mtoto una hila wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamuulize mwenyeweHivi na mama angu mlikuwa na-share mchepuko gani vile?[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
Hii nimeiona kwenye time line nikajisemea tu hiiiiii[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hivi na mama angu mlikuwa na-share mchepuko gani vile?[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
Hii nimeiona kwenye time line nikajisemea tu hiiiiii[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]View attachment 2076223