Ajengewa mnara wa heshima Iraq baada ya kurudi ndani ya gari iliyolipuka ili tu utupu wake usije kuonekana kutokana na nguo alizokuwa kavaa kushika moto aliteketea mpaka kufa.. Hiyo inaitwa IMANIView attachment 2067059
Hapana. Hii ni pidgin. Ni mseto wa msamiati kutoka lugha mbalimbali japo sarufi ina misingi ya Kiingereza. Nadhani ni lugha kabisa inayojitegemea sawa tu na pidgin ya Wahaiti au Wajamaika.