CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,868
😂 😂 😂Kabaya kama naniliu
😂 😂 😂Kabaya kama naniliu
Swagga za wala Majani wa Chugga wanadai Jerusalem inakosewa kuandikwa. Inatakiwa iandikwe kama hivyo kwenye Tshirt aliyovaa huyo chalii wa Chugga
View attachment 1213526





Ndiyo mtu aliyeishi miaka mingi kuliko mtu yoyote hapa duniani!!!?Wakati wewe unalilia kuishi wengine wanakisaka kifo kimewasahauView attachment 1210091
Check rangi ya mikono yake compare na kichwa chake.Haters watasema imeeditiwaView attachment 1213722
Hapa naona kila mtu kaja na mboga yake kwenye sufuria tena siyo bakuri. Hatari.