Wenyewe wamejitoa[emoji38][emoji38][emoji38]
Miranda nyeusiAisee kumbe nimepitwa na mengiView attachment 2059706View attachment 2059707
Jina lako linaandikwa.
Naona huko makaburini hakukaliki watu wanafufuka sana siku za hivi karibuni... huyu Karudi na njaa
Pombe zikishakufikisha level hii basi kiri tu kuwa una tatizo [emoji16][emoji16][emoji16]Nguvu ya Krismass View attachment 2059946
Hahaha kwani zina nini mkuu? [emoji23]
Hapa hakuna namna huwezi ipinga nature [emoji848]Siri ya mtungi...View attachment 2058720