Kucheleee[emoji323][emoji322][emoji323][emoji322][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona mnamnukuu nusu nusu Mtumishi wa Mungu?
Wekeni yote aliyosema. Kwamba ikulu kuna shetani. Na kwamba mwaka kesho nchi itapona (sijui anamaanisha nini). Ila inaonekana kaliamsha dude kwa sababu naona makelele kotekote[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2059240
![]()
Ikulu haina shetani, Mwingira amevuka mipaka. Hatuwezi kuacha Ikulu itukanwe, hatua zichukuliwe
Ikulu kunaishi watu, hakuna Malaika. Ukilijua hilo huwezi kuongea uliyoongea.www.jamiiforums.com
UmeonaeeeN vle, ukosefu wa pesa na makelele huwa havichangamani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii pua ya kinyakyusa kabisa.
Tembea mbele
Kaonjeshwa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Mariam una maajabu gani?View attachment 2059442
Kaonjeshwa kitu gani?[emoji23][emoji23]Kaonjeshwa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]