Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20211224_114537.jpg
 
Tulipata ugeni ofisini kwetu miaka fulani,walikuwa watu wa Asia ambao hata wao kiingereza hakipandi vizuri
Ila mmoja wao alikuwa ni black kama sisi.ila hakuwa mzungumzaji sana

Kumbe yeye anajua lugha kuliko wenzie ila ananichora tu mi najua hajui

Basi bwana,katika siku zote tatu walizokaa tuliongea mengi kuhusu mipango yetu ya kiofisi na tulielewana vizuri tu

Basi siku ya mwisho tunaagana yule black mwenye asili ya kihabeshi aliniambia

Umejitahidi sana ila Kuna haya maneno sijakusikia ukitaja na hayaepukiki

Which,whose,whom,while, when,while n.k

Nilijisikia aibu sana hasa ukizingatia ndiyo tuliyo karirishwa mashuleni huko
Ila ulijitahidi inaonekana
 
Back
Top Bottom