mie ndio maana date ya kwanza na mrembo wa badoo au tinder ni kuogelea🤣🤣🤣🤣🤣 tunauziwa mbuzi kwenye ngunia na hawa warembo
Yuko sahihi!
Kakimbaumbau halafuUtamjua tuuView attachment 2053551

Muone!
Jamani nimeamkiwa na mimi nimejibu. Kosa langu niniMuone!



Shikamoo Mama Mchungaji

Muone!Jamani nimeamkiwa na mimi nimejibu. Kosa langu nini
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app