Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,918
- 136,634
Ankali
Ankali
AnkalSiyo lazimaView attachment 2052913
Abee,
NiajeAnkali
Sawa
Yupo sawa kabisa, raha jipe mwenyewe kwa uwezo wake ni sawa,make mtu anakodi jet peke yake au Yatch peke yake kwa gharama kubwa sana ili kuenjoy life. Imagine mtu anamjegea mchepuko nyumba ya mamilioni/mabilioni just for papuchi tu na si mke wake,au imagine sisi walevi tunaomaliza Ml kwa pombe za siku moja na kubaki na madhara kiafya,kiuchumi nk.Ni heri yake, nampa





nimeelewa kwanini jamaa alishika nafasi ya chini kwenye shindano la kumtafuta pacha wake.