Waliwahi kuwa na mbunge aliyehudumu kama Waziri kwenye serikali ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa hawana mbunge wa CCM?
Hizo nyonyo sasaNeno moja kwa bikra wa kitaaView attachment 2048351
Huyu atakuwa ni poropesa ndalisyakwa.Also aah, we, we political aah will by ensuring that we we we make aah the result known for example we have exhibitions for students to participate in science and technology so those who are doing aah innovative things we make them aah, we make public exhibition, so that people can come and see and appreciate aah, whot why is it important to to to invest in education and our country is the among the 19 countries which we aah we commited to kenyata decleration ahh"[emoji848][emoji15][emoji2827][emoji1544][emoji1544]
Njoo kwetu, wengi sana. Ama enda ujaluoni[emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2049045
Ni kweli hili gwiji la Fasihi limechomoka? Kama ni kweli RIP
View attachment 2048213
Hakuna tuliyemtuma kuuchungulia mwaka 2021.
Kwakweli mwaka 2021 umeacha alama nyingi nyuma.
Mpaka sasa bado najiuliza Haji Manara amewezaje kuwa msemaji wa Yanga![emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 2049164
Daaah! Mzigo huuHalifichikiView attachment 2048194
Kwa vile hawawalazimishi wafuasi wao, acha tu watu wapigwe mpaka akili ziwakae sawa.Kuna mtu kachafukwa huku[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Hakuna watu washenzi na takataka tena wapuuzi wakiwa wamejaa upumbavu kama wanaojiita #Manabii. Wengi wao ni waongo na matapeli na wanatumia #NGUVU_ZA_GIZA, Hawapo kwa ajili ya kuwasaidia bali wamekuwa #WANYANG_ANYI WAKUBWA na kufilisi watu..
Hawa manabii ni wajinga mno, wanatumia neno la Mungu kuwaumiza watu, huku Shetani ndiyo misingi yao.
Hosea 6:4
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
Manabii na maaskofu wa leo wengi wao ni #Utopolo na ni #Wezi.
Manabii au mitume gani wapo mijini tu vijijini hawapo?