Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Huku poa aisee. Cha muhimu tu uzima bana. Tuendelee kubarikiwa na hii pumzi ya bure....Njema sana. Majukumu yalinibana kidogo nikawa napita tu speed huku.
Vipi,habari ya hapo Ndala!?[emoji23]
Ipi hiyo mkuu?Naomba uni quote ile meme ya ya huyu jamaa yenye caption ya fununu ndo akina nani
Hivi hapo atapona?Bad day [emoji1545][emoji1545]
View attachment 2049024