Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hao wanyakyusa walituandikia vitu kibao ika waliishia kula m moja na nusu na deni wanadai mpaka leo na mtoto wao nimempiga watoto watatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo ndiyo uanaume sasa. Ukizubaa wanakubambikiza makorokocho kibao. Mimi niko napambana nao hapa...nawalia timing nimshone mimba binti yao nione kama hawatapunguza bei [emoji16][emoji16][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…