Vituko mitandaoni. Tupia chako

wanapiga showsho ya kibabe mkuu
Oooh kumbe...

Basi hakikisha umejikinga vyema kama unataka tu kufaidi show lakini si matokeo ya shoo [emoji16][emoji16][emoji16]

Hivi Kingsman (ambaye siyo jobless) anayajua haya? Yaani umenifanya mpaka nitamani kuwa jobless. Ushindwe mkuu [emoji16][emoji122][emoji16]
 
yeye sio jobless kwa jamii ila ni jobless kwangu mzee wa showsho hanaga utani kwenye sekta hiyo[emoji1787][emoji1787]karibu kwenye ujobless
 
He he hee!!! Wagonjwa wakikutana sasa.
 
Huo mstari wa mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…