moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,867
- 777,116
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda dhidi ya maambukizi[emoji120][emoji120].Leo ni siku ya UKIMWI wakuu. Tuendelee kujikinga. Bado upo!
View attachment 2029530
Na wale walioambukizwa Mwenyezi Mungu awape shifaa