Hivyo nimetoka kumla kambale mbichiiii,halafu ankali hayo mavitu sijui pweza nikiwaangalia tu ata kujaribu kula nashindwa kwa jinsi walivyoAkali chakula cha baharini kitamu sana.
Karibu nikufundishe namna ya kuwala hawa kamba, chaza, kaa, pweza, ngisi, nk
Siyo kila siku perege na kambale tu
Nilikwenda Mererani kusaka hela, na sasa nimerejea! Ukimsikiliza babu yako shauri yako [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Ulikuwa wapi kwani????[emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikwenda Mererani kusaka hela, na sasa nimerejea! Ukimsikiliza babu yako shauri yako [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Rukia nakuonya....Ulikuwa wapi kwani????[emoji16][emoji16][emoji16]
Bro hapo umetulisha matango pori tena bila chumvi.Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Dunia nzima. Leo kila mtu ana umri sawa. Chukua jumla ya umri wako na mwaka wako wa kuzaliwa, utapata 2021. Hii hutokea mara moja kila baada ya miaka 1000 kwa hivyo unapaswa kuwa na furaha kuiona Siku hii Kuu; km 37+1984=2021
......iko na shavu neneeee.....
Fuso imebeba mzigo,Huyu ndio Fatuma mwenye jiwe lake[emoji23]View attachment 2025709View attachment 2025711