Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Dunia nzima. Leo kila mtu ana umri sawa. Chukua jumla ya umri wako na mwaka wako wa kuzaliwa, utapata 2021. Hii hutokea mara moja kila baada ya miaka 1000 kwa hivyo unapaswa kuwa na furaha kuiona Siku hii Kuu; km 37+1984=2021
Bandari ndo wanaoviuza Mkuu!!
Kuna muda ukishapita bila muhusika kuchukua mzigo wake,malaka ya bandari wanayo ruhusa kisheria kupiga mnada mali yoyote iliyotelekezwa.
Bandari ndo wanaoviuza Mkuu!!
Kuna muda ukishapita bila muhusika kuchukua mzigo wake,malaka ya bandari wanayo ruhusa kisheria kupiga mnada mali yoyote iliyotelekezwa.