Vituko mitandaoni. Tupia chako

Amen, namshukuru Mungu hata sasa napumua.....mana juz nlipata ajali mbaya saana lkn nashukuru Mungu naendelea vzur. Gar imeharbika mnooo(me n dereva wa malori) lkn nashukuru Mungu nmetoka salama ingawa nina maumivu ya hapa na pale lkn nitakuwa sawa.​
 
Alhamdulillah [emoji120][emoji120][emoji120]
Nakushukuru Mungu kwa majaaliwa yako [emoji120][emoji120]
 
You made my weekend Shimba[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji323][emoji323][emoji322][emoji323]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…