moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,234
- 775,715
Ni wewe bhana, pacha wako namjua vizuri[emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]bila shaka umemuona pacha wangu
Ni wewe bhana, pacha wako namjua vizuri[emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]bila shaka umemuona pacha wangu
Hiyo nondo ingelibaki hapo hata wakati wa likizo na hakuna mtu angeenda kuiiba. Lakini siku hizi mmmhhh!!Watoto wa kishua hata hawajui hiki ni nini [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2022338
Jamani Rukia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2022542
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Wasukuma ulizeni khaaa [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2022515
Ndivyo dunia ilivyo mkuu...Sio kituko..
But you must know it..
Kwamba kuna watu nxt year december wataenda Qatar kula bata la kombe la Dunia.
[emoji24][emoji24][emoji24]...
While kuna watu walikufa katika harakati za kuwaandalia mazingira mazuri ya kula hilo bata.Na hakuna atakayejali...MAY ALLAH REST THEIR SOUL IN PEACE[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2022474
Kila nikionaga hizi picha zako hapa huwa nakumbuka ile kauli yako ya kuja na ID mpya kuwa na uhuru wa mtu kupost cho chote unachotaka bila woga...