Safi ankali

Movie la kichina hiloHuyu si mwekezaji? Mbona leo ndo anakamatwa?
View attachment 2016753
Sasa huyu machina ndio wa kukaa naye mezani ili aweze kutupa Somo la umwagiliaji sio kuacha maji yanatiririkia baharini wakati tunayo ardhi ya kutosha
Jamaa ako na guvu mingi. Anaeza beba ndoo enye iko na zege kwa mkono moja