Sawsawa mkuu, kila mtu na machaguo yake 👍Huniambiii kitu![]()
Hahahahaa, unajua hata Mourinho alipaona pachungu Chelsea baada ya kumzingua daktari Eva na Eva akasepa zake, dadadeki wachezaji walimchenjia mpaka akakimbia timuAaaah kumbeee ndo maana sikuhiz kila baharia anacheza mpira alafu wakiwa uwanjani wanajiangusha angusha 😂😂😂View attachment 1192574