zombi wa wimbo wa Mj- THRILLER😂😂🙌
Kidume amekaa anakwanguliwa kucha za miguu na kidume mwenzake anaona raaha dah..kweli Dar kiboko!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Kidume amekaa anakwanguliwa kucha za miguu na kidume mwenzake anaona raaha dah..kweli Dar kiboko!
Hapo sio ajabu atamlipa huyo kijana pesa nyingine ili waingie lodge akamnyoe vuzi za matakoni
Hahahaa. Nimeipenda hii rafiki.