Utauficha kwa kimbau mbau wako[emoji16][emoji16]Siyo wewe peke yako. Wengine mpaka wananitumia PM mizigo wanayokutana nayo huko mitaani. Nitafurahi sana na wewe ukianza kufanya hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Halafu siku wananzengo wakija kugundua kuwa mwenyewe kumbe nimeoa kakimbaumbau tena flat screen sijui uso wangu nitauficha wapi mimi dah![emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Legacy ya hovyo nimejijengea mimi. Hata siku nikidedi utasikia tu jamaa alikuwa anapenda misambwanda sasa kaiacha. Ai niidi tu chenji kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]Lengo mojawapo la uzi huu ni kufurahi kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Ili tupunguze sitilesi [emoji4]Lengo mojawapo la uzi huu ni kufurahi kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwanini sakafuni sasaEti[emoji41]View attachment 2000611
Rukia huna adabu[emoji28][emoji28][emoji87][emoji87][emoji87][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 2000653
Aah mimi nimeweka tu kama kituko mtandaoni sitaki kuingia huko kwenye siasaNionavyo mimi Mbowe anaweza pigwa miaka ya kutosha watu mkabaki kushangaa.
Hizi habari zinakuja za upande mmoja tu,tena zinaoonesha mapungu ya mashahidi. Hakuna anayeleta habari za mashahidi pindi wanapotoa ushahidi konki.
Ushabiki unaweza sababisha siku ya hukumu watu wasiyaamini masikio yao.
Sidhani kama kwenye ushahidi kinachosemwa ni hivi vipande tu mnavyotuletea mitandaoni.
Tisubiri,muda utaongea.
Ukifika mbinguni utanikuta getini ndio nakagua zambi[emoji3]Simba akizidiwa hula hata nyasi....huwa navionjaga mara moja moja (# 2) ila lazima nivutie hisia kwa ma Yutong (#3+)....[emoji2221][emoji2221]
View attachment 2000701
View attachment 2000700
View attachment 2000706View attachment 2000707
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah mimi nimeweka tu kama kituko mtandaoni sitaki kuingia huko kwenye siasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Rukia huna adabu[emoji28][emoji28]