Ahahahaaaaa hata mimi nafanya fujo aisee
mm Huwa nawawekea kamera ya mbele tunabaki tunatazamana
Hebu tufahamishe hapo mtu ni yupi na mkewe ndo yupi
Kuna jamaa kwenye daladala aliandika "We mzee unaesoma meseji zangu una fi...l..ilwa" ,ghafla mzee akaanza kuwaka watu wanashangaa tu,jamaa akawa anacheka.