Cha kushangaza baa nyingi jikoni wanacontrol Wachaga au kwa sababu wapishi wanakuwa madume,[emoji848][emoji848]Wachaga tuachwe [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] , ahahah et michuz ming had dagaa wanafufuka.
Tunataabika halafu wamejikausha tu!! Na akina Elon, Bilgate na Mack na wenzao! Ni huzuni kwakweli[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na aliambiwa yeye NDIO atasimamia urithi wa familia
SYB popote ulipo, mizigi yenu huku dogo anaelemewa.Ni vitu pekee wanaume tunaweza beba bila kulalamikaView attachment 1994496
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni chakula ganiKitamu
Atafute mwanaume kutoka kwenye jamii yao ya wanyanyua vyuma.Dada yetu mpambanaji Nataliya ambaye ni mnyanyua vyuma vizito na mtunisha misuli anaonekana kunyanyapaliwa na wanaume, kwa majonzi na masikitiko makubwa analia kwakuwa wanaume wanamuogopa jambo ambalo linamfanya kukosa mchumba au mwanaume wa kuishi naye[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1994450View attachment 1994451View attachment 1994452
Nadhani hiyo mikesha walifanyia chumbani badala ya kanisani[emoji2089][emoji2089]
[emoji120][emoji120][emoji120]InshaallahMuwe na mchana mwema na mwanzo mwema wa mwezi November,baraka za Allah ziwe juu menu woote.View attachment 1994500
Ni ukorofiiii!
Baabaa,naombe nitembee nawe milele,Simba wa yudaaa,anaungurumaaaa.....View attachment 1994495
Kwa hiyo na wewe bro hii ni ID ya kupigia uchimvi tu na kuweka memes na zile picha zako ili kujilindia heshima? Si ajabu unaweza kuwa ndo Mello mwenyewe aisee!Acha uchinvi, kutumia ID mpya kuna excitement yake. Kuna aina ya mijadala huwezi kuiingia kwa ID ya 2007 ambayo umeijengea reputation ya aina fulani, let's have fun.
Maza amenikosha sana!Kemea pepo View attachment 1994237
Watu na heshima zao za JF bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji706][emoji706][emoji706]Kwahiyo nawe ulifungua hii ya kufanyia ujinga[emoji848][emoji848]
Hakuna kuelemewa. Hata tufyatue magoti sawa tu. Yutong forevaaa [emoji123][emoji123]SYB popote ulipo, mizigi yenu huku dogo anaelemewa.