Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Chabo kwa Tanga na Zenji ni hobby kabisa.
Tanga, Zenji na Dar.
Hiyo michezo miaka ya nyuma ilikuwa inawavutia mume na mke.
Zamani mume na mke walikuwa wana zurula usiku kutafuta chimbo la kwenda kupiga chabo.
Hapa Dar mambo haya yalianza kutoweka baada nyumba nyingi za udongo kujengwa kwa matofali.
 
Kila nikiwasha data kunaingia notifications 50 kati ya hizo;
10 (kumi) zitakuwa zimegusa nyuzi nilizopitia muda mfupi uliopita au nilizoshiriki na 40 zinazobaki zote utaona... "Someone" started a new post: Vituko mitandaoni. Tupia chako


[emoji38][emoji28][emoji23][emoji16]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…