Kwa mwanamke mweupe sisi Wasukuma tunaweza kutoa ng'ombe zizi zima na hela zote za pamba. Tena ukiwa mrefu una msambwanda halafu umesoma soma hivi uwiii...
Kwa mwanamke mweupe sisi Wasukuma tunaweza kutoa ng'ombe zizi zima na hela zote za pamba. Tena ukiwa mrefu una msambwanda halafu umesoma soma hivi uwiii...
Wikendi njema wakuu na Mungu Awalinde sana. Ukiweza siku ya leo hebu toa msaada kwa mtu asiyejiweza msiyefahamiana. Siyo lazima iwe pesa. Hata tabasamu tu au kitendo kinachoonyesha upendo kinatosha. Blessings