Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20211029-WA0012.jpg
 
Hii picha tumedanganywa kama Ile ya mchumba WA Sabaya. Picha hii hii ilikuja hapa JF ikiwa na maelezo kuwa kijana kamuoa mama yake mzazi ,mama alitoa sababu kuwa kamlea mwanae peke yake Kwa gharama kubwa hivyo ni Bora akafaidi yeye matunda.
Na ndio maana iko huku kwenye post ya vituko
 
Back
Top Bottom