Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Nmekuwa na hamu ya hii kitu ya kuitwa makande, sema me hupenda makande ya njugu mawe uweke na naz hapana kitu kitam kama hichoKikwetu zaidi karibuniView attachment 1987224
Mlango iko na hps 😎
Najua sana kuyapika. Njoo ghetto nikupikie....Nmekuwa na hamu ya hii kitu ya kuitwa makande, sema me hupenda makande ya njugu mawe uweke na naz hapana kitu kitam kama hicho
8. Ukienda chooni ukikaa sana pia n shughuli, ama ukaenda mara kwa mara ni shughuli