Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Watoto wanapigania kuwa katika darasa la huyu mwalimu. Mpaka wazazi imebidi waingilie kati [emoji15]
Huyo kapigwa hadi kufariki wenzie wamekimbia unalowaza hajalifanya mkuu[emoji23]Baharia kafa vizuri. Naomba azikwe kwa heshima zote za kibaharia.
View attachment 1984460
Ni utani tu mkuu. Nimeisoma habari yote...Huyo kapigwa hadi kufariki wenzie wamekimbia unalowaza hajalifanya mkuu[emoji23]
Source;Millard Ayo