Hahahahaj[emoji23][emoji23]Ni patashika nguo kuchanika!
View attachment 1982403
Wewe ni kabila gani kwanza?Hao ndio watakufaa zaidi, hakuna kudekeza kiziwanda.
Lolote tu[emoji1787][emoji1787]Wewe ni kabila gani kwanza?
Atanitaka tu[emoji1733][emoji1733][emoji1733][emoji1733]
Nyie mnaoficha makabila yenu hamna haki ya kushambulia wala kutania makabila ya wengine...Lolote tu[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie mnaoficha makabila yenu hamna haki ya kushambulia wala kutania makabila ya wengine...
Ila wewe kama siyo Mnyaki basi itakuwa ni hukooo Tanga!
Hatuna mwanamke wa Kisukuma anayeweza kuita wanaume mafurushi. We utakuwa Mnyaki, Mhaya, Mchaga au huko Tanga. Mabinti wa Kisukuma wanaheshimu sana wanaume[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie msukuma.
Umeeleweka sana tu[emoji23]