Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hahahaha[emoji23]
 
Huyu Tiwa Savage ni nani? Nimeona anapelekewa moto si wa kitoto japo kweli ka Clip ni kafupi. Yaani ndo kaanza tu kuisikilizia na clip ndo inakata. Hovyooo!!! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Mwanamuziki kutoka Nigeria,.. kweli kafupi inaonekana maana hadi wewe umelalamika[emoji23][emoji23]
 
Umeibuka. Jana tulikuwa tunakusema kuwa una tabia ya kuibukia kwenye topiki zenye utata [emoji16][emoji16][emoji16]

Konekisheni haina masharti bana japo hujaniambia huyo Tiwa Savage ni nani[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji mlinijadili bila kunishirikisha!
Maisha yangu yana "roho ya mbu"... Yanaona raha saana nikitaabika. Hizi topiki zenye hamasa hunifariji sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…