[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakuu! Mambo vipi!!
Kuna hii kitu status ndo sehemu inayotembelewa kuliko popote hapa duniani!
Hapana nimeweka baadhi tu!! Embu tupia tuone vichekesho na jumbe mbalimbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji4]View attachment 1141576View attachment 1141577View attachment 1141578View attachment 1141579
Hii kitu nilikiona Lindi Liwale 2016 baada ya mtaa mmoja kuvuna korosho za kuosha. Alikuwa na viboko vya kila bei