60s na 70s ulihadithiwa na nani kamanda?Kijijini huko late early to late 60s kumpata demu wa Kisukuma ilikuwa mtihani aisee...Hali hii iliendelea mpaka 70s to late 80s. Halafu pesa zikachukua mkondo wake..
View attachment 1968009
Msambwanda wa kichina unatafutwa kwa njia hiyoNini kinaendelea[emoji848][emoji848][emoji848]???
View attachment 1968005
Kha si afumbe MachoView attachment 1967968R I P[emoji23][emoji23][emoji23]
je sio kwamba ni sauti za nasibu Kwakua hakuna Mwanadamu aliyezaliwa na lugha yake bali huikuta popote pale atakapozaliwa na kuifanya lugha mama yake???Kuna chain ya nguo tena kali sana inaitwa Mavi...
View attachment 1967053
Na kuna kinywaji mashuhuri sana huko Mexico na nchi za Latin America kinaitwa Mavi.
View attachment 1967055
Lugha - sauti za nasibu zilizokubaliwa na jamii-lugha ili zitumike katika mawasiliano yao. Ni sauti za nasibu kwa sababu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya neno na kitajwa au kirejelewa. Ndiyo maana neno moja (mf. mavi) linaweza kuwa na maana tofauti katika lugha mbalimbali.
Nimezaliwa mwaka 1945 wakati mbaya sana wa vita vya pili vya dunia. Miaka ya mwisho wa sitini huko ndo balekhe sasa...Najua sana ninachokiongelea. Dunia imebadilika mno!60s na 70s ulihadithiwa na nani kamanda?
Angalau 80s, 90 na 20.
Lakini 60 na 70 mzee tafadhali sana aisee[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
We mjukuu wangu wewe basi tu...[emoji15][emoji15]
Du haya bhanaNimezaliwa mwaka 1945 wakati mbaya sana wa vita vya pili vya dunia. Miaka ya mwisho wa sitini huko ndo balekhe sasa...Najua sana ninachokiongelea. Dunia imebadilika mno!
Kwenye mazingira ya kifo hata hisia zinakusahau. HafiView attachment 1967968R I P[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajuaje km umefarik au tambo limezingua umehamia kwenye kiswaswadu kwa muda
Astagh firu llah albaa malla
Umeweka magilin mengi sana kwenye hizo nambNimezaliwa mwaka 1945 wakati mbaya sana wa vita vya pili vya dunia. Miaka ya mwisho wa sitini huko ndo balekhe sasa...Najua sana ninachokiongelea. Dunia imebadilika mno!