Kitambi na upungufu wa nguvu za kiume ni washikaji sana.[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]Kitambi pia ni rafiki wa Presha
Kitambi na kisukari ni chanda na pete
Kitambi na upungufu wa nguvu za kiume ni washikaji sana.
Kitambi na mrundikano wa lehemu (cholesterol) katika mishipa ya damu hawapishani.
Kitambi na heart attacks ndo kabisaaa!
Kitambi na kiharusi wako pamoja
Wenye vitambi nunueni nguo za mazoezi muanze jogging...ila msi-jog kiBAVICHA BAVICHA mtaswekwa ndani! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi apa![emoji23]
Umekula???....
[emoji870][emoji870]Hatimaye umenielewa
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23], sawa mkuuINABIDI KUULIZIA KWANZA KABLA HUJAPOST [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Utatuua-KITAMBI kimeleta AJIRA (Clean 9 na Gym)
-KITAMBI kinakudhamini
-KITAMBI kinaharakisha PROCESS za MKOPO
-KITAMBI kinawapa WAKWE amani kwamba BINTI yao anaenda sehemu yenye SHIBE
-KITAMBI kinasaidia sana kwenye kufuta KIOO cha SIMU
-KITAMBI mwenzake SUTI
-KITAMBI mwezie VOGUE ,BMW ,MERCEDES BENZ
-KITAMBI kinakupa HARI ya KUTAFUTA maana KIKIPUNGUA tu WASWAHILI wataanza (KASHAFULIA)
-KITAMBI sio ULEMAVU
[emoji117] JIVUNIE ULICHOJAALIWA
[emoji117] NAWASALIMU wenye VITAMBI vyenu!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unafanya nini?Umekula???....
Hakuna swali silipend ka hili an... Japo beybe hapo anaona kanijaliiii bt me nakuwa bored
Kwahiyo ulichanja kwa sababu ya safari pekee?Nilichanja Moderna tangu mwezi Mei kamanda. Hakukuwa na jinsi hasa kama mtu unasafiri safiri...
Umeupiga mwingi[emoji870][emoji870]Kitambi pia ni rafiki wa Presha
Kitambi na kisukari ni chanda na pete
Kitambi na upungufu wa nguvu za kiume ni washikaji sana.
Kitambi na mrundikano wa lehemu (cholesterol) katika mishipa ya damu hawapishani.
Kitambi na heart attacks ndo kabisaaa!
Kitambi na kiharusi wako pamoja
Wenye vitambi nunueni nguo za mazoezi muanze jogging...ila msi-jog kiBAVICHA BAVICHA mtaswekwa ndani! [emoji16][emoji16][emoji16]
Kaka wa nini??Kwa mama hapa,nasubiria kuku itage,niibe yai nikaange...[emoji16]
Unataka uniunganishe kwa kakaako??
Hapo jb n "niko kanisani naombewa"Unafanya nini?
Miaka 32+Kaka wa nini??
Nshakua saivi...mimi ndo nakutaka now[emoji85]
Unaombewa nini??Hapo jb n "niko kanisani naombewa"
[emoji23][emoji23] hadi mkaachana.Unaombewa nini??
[emoji1787]mie ninamaswali ex alikuwa ananiambia ninamaswali kama polisi[emoji23]
Usiku nikimuuliza umelala?? ananijibu nipo nje naotea jua[emoji1787][emoji1787]kichaa yule