Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,635
Kutokuwa na mchepuko nayo ni hatia lazima sala ya toba ihusike hapo
Kutokuwa na mchepuko nayo ni hatia lazima sala ya toba ihusike hapo
Kweli ila kwa haraka haraka lililovaa shela sio jibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1130789
Yupi kavaa shela? Ndugu sio kila alovaa koti jeupe ni daktari, wengine wauza nyama[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Kweli ila kwa haraka haraka lililovaa shela sio jibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunabishana na vyeti ?
Anayeidhinisha ni nani
Uzoefu huo. Kama namuona Hulk Hogan
Lkn still usichokozeHogan atakua anatembea na bakora sasa
Lkn still usichokoze