Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ufalme wa mbinguni utausikia tu bro[emoji23][emoji23]
Unakua na mahusiano lkn bae wako hana mpango wa kuanza familia kwa kipind hicho hata km ikinasa hakwambii anakubom anaenda cholopoa atakwambia tumbo linamzingua unamuongezea posho ya matumiz kwa hiyo unashirik bila kujua mpaka shoga yake ajisikie kukwambia ishakula kwako
 
Kwakweli kusingekuwa na huduma ya kucholopoa wengi wangeozea jela.
Na pia huduma hiyo ndiyo iliyoongeza idadi ya wahitimu wa kike kwenye vyuo mbalimbali
Vinginevyo wengi wao wangeishia kulea
 
-KITAMBI kimeleta AJIRA (Clean 9 na Gym)

-KITAMBI kinakudhamini

-KITAMBI kinaharakisha PROCESS za MKOPO

-KITAMBI kinawapa WAKWE amani kwamba BINTI yao anaenda sehemu yenye SHIBE

-KITAMBI kinasaidia sana kwenye kufuta KIOO cha SIMU

-KITAMBI mwenzake SUTI

-KITAMBI mwezie VOGUE ,BMW ,MERCEDES BENZ

-KITAMBI kinakupa HARI ya KUTAFUTA maana KIKIPUNGUA tu WASWAHILI wataanza (KASHAFULIA)

-KITAMBI sio ULEMAVU

[emoji117] JIVUNIE ULICHOJAALIWA
[emoji117] NAWASALIMU wenye VITAMBI vyenu!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…