Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nakaaga uan kwenye matukio ya kifamilia ikitokea kuna kazi mabint wanaitegea naipiga mwanzo mwisho wananichukulia km mtu wa kazi kumbe naficha udhaifu wangu wa kutokua na pesa kwenye michango huwa sisumbuliw
Ile pesa wangelipa labour huassume kama ndio ungechangia. Sio kwamba hawajui kua umesota, ni vile hawataki kupoteza nguvu kazi.
 
Siku ya kwanza kutaka kuchanjwa nilichelewa kwenda
ikapita hiyooo

Jana dr ananipigia vipi nikuletee chanjo? Nikamwambia ndio lakini sipo nyumban nipo mbalii,
Nilivyorudi nikamtafuta akaniambia chanjo zimeisha
maana naogopa sindano,
Unaogopa sindano? Ile sindano nyingine huwa unachomwaje?


Katika umri huo labda uwe na ishu zingine. Sana sana wapeleke wazazi na babu na bibi wakachanjwe kama wangali hai. Hao wapo katika hatari zaidi kuliko wewe tineja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…