Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii imenikumbusha nilishawahigi kusimama na kujikuta namkaribisha kanisani kwetu ninakosali kaka mmoja nilimkuta kwenye kinjia cha short cut asubuhi nikienda kanisani. (Kisa tu nilihisi ni kibaka maana kinjia kile kilikuwa kinasifiwa kwa kukaba watu)........... Eti Kaka mambo? karibu twende kanisani........ yaani sitasahau.
 
64457386_398656930744672_218681798977805327_n.jpg
 
Mzee baba huku wananzengo ukijifanya unajaa upepo wao ndio watakujaza zaidi..
Kwahyo Mzee baba ww kuwa mpole!

Numbisa baby ongeza glass hapa Nina k- vant na captain Morgan nataka ninywe zote!!!
Teh teh! Teh!
You're very funny! Honestly, unachekesha kama unachofanya ni kujaribu kuni-lecture about how JF works! FYI, hii ID ishakuwa deleted once and restructured once, so you have nothing to tell me about how JF works! I mean no disrespect but next time I hope you'll focus on public targeted posts cuz' not every post is for everyone; and if you really know how JF works; I hope you'reaware about that too cuz' that's how things work even in a real world!! Stay blessed!!
 
Back
Top Bottom