Father of Chemistry
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 397
- 1,282
Nchi ngumu hii
Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe
Ishi na ndoto zako......

Hivi hawaogopi, maana hata mbyusyusyu inakuwa imezeeka tayariNilikuwa namcheki malkia wa pop Madonna now ana 62 ana-date kijana age 26. Nikabaki najiuliza,jamaa anatengeneza future gani na bibi ake?!View attachment 1955841

Unapata jobless anaamka mapema kabisa alfajiri as if anaenda sehemu, washua wakisepa tu anarudi kitandani kulala siku nzima


Short story. Wazee wa ku-zoom.View attachment 1956033View attachment 1956035View attachment 1956036View attachment 1956037
Sent using Jamii Forums mobile app



