Rombo hiyo, mzee yupo hoi kwa kileci hata kukaa kwenye kiti cha pikipiki ni shughuli
View attachment 587987




dah hii karee,mwana kaamua ampige mnati tuuKwani wewe ni mtu usiyejulikana na ulikuwemo kwenye Nissan Patrol nyeupe iliyohusika kule Dodoma?
nini hiki?Haya maumivu bora shoka kabisa
Ukikumbuka mpaka unasisimka![]()
Huyu jama ni waziri Sudan kusini
Waendeleee maana Elimu bila Malipo

Hahahaaa
Ila ana makinikia![]()
lugha ni ya watu hii![]()
Turbocharged Engine hii
Eti siku yako mbaya leo![]()
Tofauti ya kufikiri na kuwaza ni kama mbingu na nchi...
Pindi unapoona kuna ngozi kidogo imejitokeza kwenye kidole halafu unaivutanini hiki?