Vituko mitandaoni. Tupia chako

Inawezekana kwa kweli[emoji1787][emoji1787]View attachment 1947723
Kwakweli ukifuatilia mfumo mzima wa mvua (rain formation).

Mvukizo wa maji ya bahari ==> mvua inaamka.

Kutengeneza mawingu na kunyesha kwa mvua ==> mvua iko katika harakati zake huko milimani.

Maji ya mvua yanayotililika katika mito kuelekea baharini ==> mvua inarudi magetoni kuangusha 😂😂😂

Samaki,nyangumi, na viumbe wengine==> Hawa ni kama kunguni tu kwa maji😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…