IMG-20190605-WA0000.jpeg
 
Numbisa una nini ati!?du si kwa caption hii
Wewe unavyomuona amepatia kweli huo muonekano au amepuyanga ? . . Mdada huyo Kwa furaha amejitupa mtandaoni kupost picha za harusi yake, lakini tofauti na alivyotegemea kupongezwa, badala yake wengi wamemchambua kuwa hajapendeza wala nini na hizo make up, wengine wamemtupia vijembe kuwa labda make up hizo alipakwa na ex wa aliyemuoa. Pia wamemzodoa Kwa kumwambia nguo yenyewe hata haijampendeza. Wengine wameibutua hiyo keki ya Harusi huku wakienda mbali kumtungua jumla wakidai labda hiyo ndoa/harusi ilikuwa ya mkekaView attachment 1118824
 
*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*


*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*

SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UNGA TUU
 
102 Reactions
Reply
Back
Top Bottom