Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,918
- 136,634
Babu yangu SYB nimemkera SanaWaarabu wa Pemba.

Babu yangu SYB nimemkera SanaWaarabu wa Pemba.

Yaani exactly kama Jane flani, utadhani mmefundishana. DuhKama vipi yaishe,wewe nawe kitu kidogo tu unapaniki,aaaahbasi yaishe,kama vipi samahani,basi sorryView attachment 1937959

!Acha ufukunyuku, unataka amwage tukio hadharani.Ulimuona wapi akilamba chumvi ?








Chidden of our futureUmleavyo...View attachment 1938038

Tunahenyeka juani kwa ajili yake![]()

Nashangaa wengine wanachukizwa nayoMenu iko kitandani tena pametandikwa kitenge


Aiseee, kumbe wewe ndiye muhusikaAcha ufukunyuku, unataka amwage tukio hadharani.
![]()


