Haji anaumwa
Haya maneno yataishiAna Ugonjwa wa msononeko. Wengi wao hufikiria Tiba yake ni kuikejeli hali aliyokua nayo kabla baada ya kuondokana nayo.
Mwisho wa siku hujikuta wamezidi kuwa wapweke zaidi na kuinukia matatzo ya akili.
Ameshapoteza nguvu ya kusikilizwa. Anadhani kuwasema vibaya SSc atacreate attention kumbe watu wameshamdharau.
Kuna shida kubwa ipo mbele yake.
Sijawah na sitaandika tena kumhusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamempa oil apoze injini[emoji23]Jamaa ni injini ya timu ndomaana kapewa oil[emoji23][emoji23]
Mtumishi njoo hapa nyumbani unipige [emoji23][emoji23]Unajua kuwa wanawake wa Mbeya tunapiga sana?
Huna hili wala lile upo home unarilaksi mara anatokea binti mrefu mrembo amefungasha hatari akiwa na Biblia yake mkononi. Anafika hapo kwako na kuuliza "eti Moud ndiyo yupi hapa?". Nawe bila kusita unajitutumua ni mimi hapa na bila kusema neno anakusogelea na kuanza kukupa vitasa vya uhakika tu halafu kama alivyokuja huyooo anakwenda zake. Familia yote inaachwa imepigwa na bumbuwazi [emoji16][emoji16][emoji16]Mtumishi njoo hapa nyumbani unipige [emoji23][emoji23]
Hiki kitakua kigoda cha mama jKigoda lakini sio kama kile cha mwalimu
Mtumishi njoo hapa nyumbani unipige [emoji23][emoji23]
Mmh [emoji3064][emoji3064][emoji3064]Tutumie hela zetu za tozo twende tukawakopeshe hawa pua ndefu. Ni muda wetu wa kuanza kuwatawala sasa....
View attachment 1930725
Huna hili waka lile upo home unarilaksi mara anatokea binti mrefu mrembo amefungasha hatari akiwa na Biblia yake mkononi. Anafika hapo kwako na kuuliza "eti Moud ndiyo yupi hapa?". Nawe bila kusita unajitutumua ni mimi hapa na bila kusema neno anakusogelea na kuanza kukupa vitasa vya uhakika tu halafu kama alivyokuja huyooo anakwenda zake. Familia yote inaachwa imepigwa na bumbuwazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtumishi hebu fanya kweli mtu ale vitasa vya kueleweka leo hii hii au kesho!
Sana tu,km hutumiw badili uelekeo wapo weng tu wanatafuta pa kutuma
Kuuuuuumbe!!!!!!!!huyu Dada si mtu mzur km hadi ww kakuponzaHahaha[emoji23] sina hamu naye huyu dada kanisababishia ban
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji817]SYB
Bora huyo huku Mapinduzi cup anapewa katoni ya juis za azam.View attachment 1929341
Man of the match ligi ya sudan anapewa dumu la oil ya gari km zawadi[emoji23][emoji23]