Kituko cha mtandaoni huko Guinea. Wanajeshi wamefanya yao. Alpha Condé - kiongozi wa upinzani aliyeingia kwa mbwembwe akijigamba kuleta mabadiliko. Badala yake ikawa ni utopolo tu akaishia kujiongezea mihula ya uongozi kwa kukiuka katiba...
Mkuu Tz yetu walinzi wa mipaka wanaheshima sana kwa wakubwa wao pia wakuu wanawahandle vizuri wasiwageuke alaf vigilante hamnaga kwetu wengi wajanja wa behind the keyboards..