Mimi sijasema ni SHIMBA YA BUYENZE lakiniKuna mjumbe anatamani nafasi ya Grand P angekuwa yeye.View attachment 1921735
Supu imejileta yenyeweAnaenda kuwinda panya.
Changamoto za shamba zinaanzia hapo[emoji849][emoji24][emoji24]View attachment 1921831
yaani wala usijisumbui kutuma good morning texts kwa gelofrend wako maana atapata tuu kwa vidume kama mia hivi.[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1922152
kumbe na wenyewe wameanza kukubali ukweli kuwa bila tako mitongozo inapunguaKwa kweli nitasubiri...[emoji16]
View attachment 1922176
basi vizuri kama wanalitambua hilo so wakituona kidume kacheat wajipime tako lao na la huyo mwanamke mpyaUnafikiri hawajui? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]